Logo
  • Home
  • About Us
    • Aim and Scope
    • Research Area
    • Impact Factor
    • Indexing
  • For Authors
    • Authors Guidelines
    • How to publish paper?
    • Download Paper format
    • Submit Manuscript
    • Processing Charges
    • Download Copyrights Form
    • Submit Payment-Copyrights
  • Archives
    • Current Issues
    • Past Issues
    • Conference Issues
    • Special Issues
    • Advance Search
  • IJARIIE Board
    • Join as IJARIIE Board
    • Advisory Board
    • Editorial Board
    • Sr. Reviewer Board
    • Jr. Reviewer Board
  • Proposal
    • Conferece Proposal
    • Special Proposal
    • Faqs
  • Contact Us
  • Payment Detail

Call for Papers:Vol.11 Issue.4

Submission
Last date
28-Aug-2025
Acceptance Status In One Day
Paper Publish In Two Days
Submit ManuScript

News & Updates

Submit Article

Dear Authors, Article publish in our journal for Volume-11,Issue-4. For article submission on below link: Submit Manuscript


Join As Board

Dear Reviewer, You can join our Reviewer team without given any charges in our journal. Submit Details on below link: Join As Board


Paper Publication Charges

IJARIIE APP
Download Android App

For Authors

  • How to Publish Paper
  • Submit Manuscript
  • Processing Charges
  • Submit Payment

Archives

  • Current Issue
  • Past Issue

IJARIIE Board

  • Member Of Board
  • Join As Board

Downloads

  • Authors Guidelines
  • Manuscript Template
  • Copyrights Form

Android App

Download IJARIIE APP
  • Authors
  • Abstract
  • Citations
  • Downloads
  • Similar-Paper

Authors

Title: :  TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA
PaperId: :  27026
Published in:   International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education
Publisher:   IJARIIE
e-ISSN:   2395-4396
Volume/Issue:    Volume 11 Issue 4 2025
DUI:    16.0415/IJARIIE-27026
Licence: :   IJARIIE is licensed under a Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License.

Author NameAuthor Institute
Pius M MwanzaSouth Eastern Kenya University
DKT Sarah Ngesu South Easter Kenya University
DKT F. M. MusyokaSouth Eastern Kenya University

Abstract

Kiswahiili , Fasihi na Lugha
Maneno Muhimu: Nyimbo za Kiswahili, Nyenzo aa Ufundishaji, Shule za Chekechea
IKISIRI Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Kaunti ya Makueni ina idadi ya kata tisa kwa ujumla. Kata hizi nne ziliteuliwa kwa sababu utafiti wa awali ulionyesha kwamba kwenye kata hizo kuna shule za chekechea ambazo zina mchanganyiko wa walimu na wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na waliozungumza lugha asili tofauti. Hivyo, nyimbo za Kiswahili zilitumika katika ufundishaji katika sehemu kubwa kwa kuwa zilieleweka na wanafunzi wote. Shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi ambazo zenye wanafunzi wengi zilishughulikiwa katika utafiti huu. Shule mbili hadi tatu zilichaguliwa katika kila kata kulingana na idadi ya wanafunzi na maeneo ya shule hizo. Mbinu za kusudio ilitumika kuchagua nyimbo za Kiswahili ishirini na tano kwa jumla. Madhumuni ya utafiti huu ilikuwa ni; Mosi, kuainisha aina za nyimbo za Kiswahili zilizotumika kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Pili, kubainisha namna nyimbo za Kiswahili zilivyotumika kama nyenzo ya ufundishaji na tatu, kufafanua athari za matumizi ya nyimbo za Kiswahili kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea. Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954. Sampuli lengwa ilikuwa ni shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi. Pia, mbinu ya hojaji ilitumika katika ukusanyaji wa data kutoka kwa walimu. Kwa kuwa walimu wa shule za chekechea huwa wachache, mtafiti alishirikisha walimu wote waliofundisha shule za chekechea katika kata zilizochaguliwa. Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kwa kutumia njia ya kimaelezo na kitakwimu. Utafiti huu umebaini kwamba nyimbo za Kiswahili ni mojawapo ya nyenzo muhimu ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Kwa hivyo, kila shule ya chekechea nchini ni muhimu kuzitumua katika ufundishaji.

Citations

Copy and paste a formatted citation or use one of the links to import into a bibliography manager and reference.

IJARIIE Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA" International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education Volume 11 Issue 4 2025 Page 146-155
MLA Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11.4(2025) : 146-155.
APA Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , & DKT F. M. Musyoka. (2025). TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), 146-155.
Chicago Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025) : 146-155.
Oxford Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. 'TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, p. 146-155. Available from IJARIIE, http://ijariie.com/AdminUploadPdf/TATHMINI_YA_NYIMBO_ZA_KISWAHILI_KAMA_NYENZO_YA_UFUNDISHAJI_KATIKA_SHULE_ZA_CHEKECHEA_ijariie27026.pdf (Accessed : ).
Harvard Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. (2025) 'TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 146-155IJARIIE [Online]. Available at: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/TATHMINI_YA_NYIMBO_ZA_KISWAHILI_KAMA_NYENZO_YA_UFUNDISHAJI_KATIKA_SHULE_ZA_CHEKECHEA_ijariie27026.pdf (Accessed : )
IEEE Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka, "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA," International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 146-155, Jul-Aug 2025. [Online]. Available: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/TATHMINI_YA_NYIMBO_ZA_KISWAHILI_KAMA_NYENZO_YA_UFUNDISHAJI_KATIKA_SHULE_ZA_CHEKECHEA_ijariie27026.pdf [Accessed : ].
Turabian Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. "TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Online]. volume 11 number 4 ().
Vancouver Pius M Mwanza, DKT Sarah Ngesu , and DKT F. M. Musyoka. TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Internet]. 2025 [Cited : ]; 11(4) : 146-155. Available from: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/TATHMINI_YA_NYIMBO_ZA_KISWAHILI_KAMA_NYENZO_YA_UFUNDISHAJI_KATIKA_SHULE_ZA_CHEKECHEA_ijariie27026.pdf
BibTex EndNote RefMan RefWorks

Number Of Downloads



Save in Google Drive

Similar-Paper

TitleArea of ResearchAuther NameAction
TATHMINI YA NYIMBO ZA KISWAHILI KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEAKiswahiili , Fasihi na LughaPius M Mwanza Download
SOCIO-ECONOMIC EMPOWERMENT AND EMPLOYMENT PATTERNS OF RURAL WOMEN IN WESTERN UTTAR PRADESHHome ScienceNeetu Singh Download
LABOR UNDER PRESSURE: ASSESSING THE LEVEL OF OCCUPATIONAL STRESS AMONG BARANGAY FUNCTIONARIES OF POBLACION, CATEEL DAVAO ORIENTALBachelor of Science in Criminology Art Cremson C. Betualla Download
BUILDING AN INCLUSIVE INDIA: THE ROLE OF DR. BABU JAGJIVAN RAM IN PUBLIC POLICY DEVELOPMENT FOR MARGINALIZED COMMUNITIESdr babu jagjivan ram chairPIDATALA ABHISHEK Download
EXPLORING THE FUTURE OF AI IN CUSTOMER RELATIONSHIP MANAGEMENTcommerce K . DARSANI Download
AN ANALYSIS ON IMPORT AND EXPORT PROCEDURES AND DOCUMENTATION IN MAF CLOTHING PVT. LTD, TIRUPURInternational BusinessUdhaya Moothy P Download
A STUDY ON CUSTOMER SATISFACTION AND CHALLENGES TOWARDS ELECTRIC TWO WHEELERS VEHICLE IN COIMBATOREMarketing Ms. A. Swetha Download
Comparative study of parent-child relationships in adolescentsHome ScienceDr. Divya Hiran Download
Challenges of Entrepreneurship Education and Curriculum towards Job creation among Students of Jigawa State Polytechnic DutseManagementIbrahim Mohammed Umar Download
APPLICATION AND PRACTICE OF "REPLACING PLASTIC WITH BAMBOO" IN CULTURAL AND CREATIVE PRODUCT DESIGNManagementJialin Yan Download
PRACTICAL RESEARCH ON THE DEVELOPMENT OF URBAN CULTURAL TOURISM INDUSTRY BY SHORT VIDEO PLATFORM managementXue Ding Download
Values of Tolerance and Coexistence: Building a Culture of Peace through Gandhian ThoughtPEACE RESEARCH, GANDHIAN THOUGHT, SOCIAL SCIENCE BRIJESH KUMAR SINGH Download
"Bridging Tradition and Modernity: Shree Jibanayatheertha's Teachings for Contemporary Society"SanskritKrishna Pada Paul Download
FOOD CULTURE AND CUISINE OF MANGALORE AND UDUPIFood Anthropology and Cultural StudiesPradyumna Prabhu Download
BULLYINGArts and HumanitiesMichele Download
12
For Authors
  • Submit Paper
  • Processing Charges
  • Submit Payment
Archive
  • Current Issue
  • Past Issue
IJARIIE Board
  • Member Of Board
  • Join As Board
Privacy and Policy
Follow us

Contact Info
  • +91-8401209201 (India)
  • +86-15636082010 (China)
  • ijariiejournal@gmail.com
  • M-20/234 Ami Appt,
    Nr.Naranpura Tele-Exch,
    Naranpura,
    Ahemdabad-380063
    Gujarat,India.
Copyright © 2025. IJARIIE. All Rights Reserved.