Logo
  • Home
  • About Us
    • Aim and Scope
    • Research Area
    • Impact Factor
    • Indexing
  • For Authors
    • Authors Guidelines
    • How to publish paper?
    • Download Paper format
    • Submit Manuscript
    • Processing Charges
    • Download Copyrights Form
    • Submit Payment-Copyrights
  • Archives
    • Current Issues
    • Past Issues
    • Conference Issues
    • Special Issues
    • Advance Search
  • IJARIIE Board
    • Join as IJARIIE Board
    • Advisory Board
    • Editorial Board
    • Sr. Reviewer Board
    • Jr. Reviewer Board
  • Proposal
    • Conferece Proposal
    • Special Proposal
    • Faqs
  • Contact Us
  • Payment Detail

Call for Papers:Vol.11 Issue.4

Submission
Last date
28-Aug-2025
Acceptance Status In One Day
Paper Publish In Two Days
Submit ManuScript

News & Updates

Submit Article

Dear Authors, Article publish in our journal for Volume-11,Issue-4. For article submission on below link: Submit Manuscript


Join As Board

Dear Reviewer, You can join our Reviewer team without given any charges in our journal. Submit Details on below link: Join As Board


Paper Publication Charges

IJARIIE APP
Download Android App

For Authors

  • How to Publish Paper
  • Submit Manuscript
  • Processing Charges
  • Submit Payment

Archives

  • Current Issue
  • Past Issue

IJARIIE Board

  • Member Of Board
  • Join As Board

Downloads

  • Authors Guidelines
  • Manuscript Template
  • Copyrights Form

Android App

Download IJARIIE APP
  • Authors
  • Abstract
  • Citations
  • Downloads
  • Similar-Paper

Authors

Title: :  Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha
PaperId: :  27096
Published in:   International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education
Publisher:   IJARIIE
e-ISSN:   2395-4396
Volume/Issue:    Volume 11 Issue 4 2025
DUI:    16.0415/IJARIIE-27096
Licence: :   IJARIIE is licensed under a Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License.

Author NameAuthor Institute
Eva E. Mongula Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania
Peter T. Mramba Chuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania

Abstract

Educational
-
Ubadilikaji wa lugha na udumishaji wa lugha ni mada ambazo kwa muda mrefu sasa zimewavutia wataalamu mbalimbali wa Isimujamii. Makala haya yalishughulikia udumishaji wa Kirombo yakiwa na lengo la kuchunguza kama lugha hii inadumishwa au la. Lengo la makala haya lilikuwa kubaini nani anatumia Kirombo na nani anatumia Kiswahili kwenye maeneo teule ya matumizi katika kudumisha lugha na kuhitimisha kama Kirombo kinadumishwa au la. Ili kufikia lengo hili watafiti walitumia mbinu za hojaji, mahojiano na ushuhudiaji katika kukusanya data. Aidha, utafiti huu uliongozwa na mkabala wa kinadharia wa uchanganuzi wa kimaeneo kama ulivyotumiwa na Fishman (1972). Nadharia hii inaelezea mazoea ya watu ya kupenda kuchagua lugha fulani itumike katika eneo fulani na lugha nyingine itumike katika eneo jingine, mazoea ambayo hufungamana na utamaduni wa jamii inayohusika na hujengwa na kudumishwa na wazungumzaji wenye utamaduni mmoja na lugha moja. Matokeo ya utafiti yameonesha kwamba udumishaji wa lugha ya Kirombo upo kwa kiasi kidogo ambapo unafanywa zaidi na wazee huku watu wa rika la kati na vijana wakitumia zaidi Kiswahili katika maeneo yote ya matumizi yaliyoteuliwa, hali inayohatarisha kutoweka kwa lugha ya Kirombo kwa vizazi vijavyo. Matokeo haya yamedhihirisha kuwa upo ubadilikaji wa lugha ya Kirombo unaoendelea kuelekea zaidi katika lugha ya Kiswahili. Makala haya yamependekeza hatua mbalimbali za kuchukua ili kunusuru lugha hii isipotee kabisa. Baadhi ya mapendekezo hayo ni pamoja na asasi za serikali, za dini, asasi mbalimbali za lugha, wazazi pamoja na jamii kwa ujumla kusisitiza umuhimu wa kuzungumza lugha ya asili, hasa kwa vijana ambao hawaoni fahari kuzungumza lugha yao ya Kirombo.

Citations

Copy and paste a formatted citation or use one of the links to import into a bibliography manager and reference.

IJARIIE Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . "Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha" International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education Volume 11 Issue 4 2025 Page 599-613
MLA Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . "Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11.4(2025) : 599-613.
APA Eva E. Mongula , & Peter T. Mramba . (2025). Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), 599-613.
Chicago Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . "Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025) : 599-613.
Oxford Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . 'Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, p. 599-613. Available from IJARIIE, http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Nani_Anazungumza_Kirombo_au_Kiswahili_kwenye_Maeneo_Teule_ya_Matumizi_katika_Kudumisha_Lugha_ijariie27096.pdf (Accessed : ).
Harvard Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . (2025) 'Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 599-613IJARIIE [Online]. Available at: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Nani_Anazungumza_Kirombo_au_Kiswahili_kwenye_Maeneo_Teule_ya_Matumizi_katika_Kudumisha_Lugha_ijariie27096.pdf (Accessed : )
IEEE Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba , "Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha," International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 599-613, Jul-Aug 2025. [Online]. Available: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Nani_Anazungumza_Kirombo_au_Kiswahili_kwenye_Maeneo_Teule_ya_Matumizi_katika_Kudumisha_Lugha_ijariie27096.pdf [Accessed : ].
Turabian Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . "Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Online]. volume 11 number 4 ().
Vancouver Eva E. Mongula , and Peter T. Mramba . Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha Lugha. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Internet]. 2025 [Cited : ]; 11(4) : 599-613. Available from: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Nani_Anazungumza_Kirombo_au_Kiswahili_kwenye_Maeneo_Teule_ya_Matumizi_katika_Kudumisha_Lugha_ijariie27096.pdf
BibTex EndNote RefMan RefWorks

Number Of Downloads



Save in Google Drive

Similar-Paper

TitleArea of ResearchAuther NameAction
USING COLLABORATIVE READING STRATEGIES TO IMPROVE ORAL FLUENCY OF GRADE SIX STUDENTS: A QUASI-EXPERIMENTAL STUDYElementary EducationJHONALYN S. SON Download
Impact of Parental Involvement on the Reading Skills of Primary Grade Learners: A Quantitative StudyEducationDivine Grace Guimare Download
Evaluating the Impact of Vocational Guidance on Job-Related Skills and Employment Outcomes for Adolescents with Intellectual DisabilityEducationalHemangi Parashar Download
TRANSFORMATIVE TEACHING: MERGING INNOVATION WITH BRAIN-BASED LEARNINGEDUCATIONKhyati Rana Download
Mathematics Teachers in Modular Distance Learning: Challenges, Adaptations, and Policy DirectionsEducationJENNY MAY AGRAMON DIAZ Download
Kuchunguza Nani Anazungumza Kirombo au Kiswahili kwenye Maeneo Teule ya Matumizi katika Kudumisha LughaEducationalEva E. Mongula Download
EXPLORING CAREER READINESS SKILLS OF SENIOR HIGH SCHOOL GRADUATES: A PHENOMENOLOGICAL STUDYEducationKareen O. Bagcat Download
NAVIGATING THE LIVED EXPERIENCES OF TEACHERS IN REMOTE SCHOOLS IN THE IMPLEMENTATION OF CATCH-UP FRIDAY: A QUALITATIVE RESEARCHEducationReylan P. De Chavez Download
SWAPA (Student Well-Being & Academic Pressure Assessment)EducationDilip Rao Meher Narose Download
MANAGEMENT SKILLS OF SCHOOL HEADS AND MOTIVATION OF ELEMENTARY PUBLIC SCHOOL TEACHERSEDUCATIONKIMBERLY F. LUBEN Download
CHOICE-LESS CHOICE VS. PREFERRED CHOICE: ITS INFLUENCE TO THE ACADEMIC PERFORMANCE AND ENGAGEMENT OF BEED STUDENTSAcademic-EducationKimberly R. Carael Download
BLAZE A NEW TRAIL: LIVED EXPERIENCES OF SENIOR HIGH SCHOOL ACADEMIC ACHIEVERS IN MEETING COLLEGE RETENTION POLICIESACADEMIC, EDUCATION Harlie M. Besoro Download
Task-Based Learning in Mathematics and Academic Achievement of TVL StudentsEducationIrish Fritz A. Clemente Download
EXPLORING THE CORRELATION BETWEEN READING COMPREHENSION AND PROBLEM-SOLVING SKILLS OF GRADE 10 STUDENTSEDUCATIONBRYAN D. GURADILLO Download
LANGUAGE LEARNING ATTITUDE AND ACADEMIC PERFORMANCE AMONG INDIGENOUS LEARNERS: A CORRELATIONAL STUDYEducation and LanguageFebb Brix Geloryao Onarse, LPT Download
12
For Authors
  • Submit Paper
  • Processing Charges
  • Submit Payment
Archive
  • Current Issue
  • Past Issue
IJARIIE Board
  • Member Of Board
  • Join As Board
Privacy and Policy
Follow us

Contact Info
  • +91-8401209201 (India)
  • +86-15636082010 (China)
  • ijariiejournal@gmail.com
  • M-20/234 Ami Appt,
    Nr.Naranpura Tele-Exch,
    Naranpura,
    Ahemdabad-380063
    Gujarat,India.
Copyright © 2025. IJARIIE. All Rights Reserved.