Logo
  • Home
  • About Us
    • Aim and Scope
    • Research Area
    • Impact Factor
    • Indexing
  • For Authors
    • Authors Guidelines
    • How to publish paper?
    • Download Paper format
    • Submit Manuscript
    • Processing Charges
    • Download Copyrights Form
    • Submit Payment-Copyrights
  • Archives
    • Current Issues
    • Past Issues
    • Conference Issues
    • Special Issues
    • Advance Search
  • IJARIIE Board
    • Join as IJARIIE Board
    • Advisory Board
    • Editorial Board
    • Sr. Reviewer Board
    • Jr. Reviewer Board
  • Proposal
    • Conferece Proposal
    • Special Proposal
    • Faqs
  • Contact Us
  • Payment Detail

Call for Papers:Vol.11 Issue.4

Submission
Last date
28-Aug-2025
Acceptance Status In One Day
Paper Publish In Two Days
Submit ManuScript

News & Updates

Submit Article

Dear Authors, Article publish in our journal for Volume-11,Issue-4. For article submission on below link: Submit Manuscript


Join As Board

Dear Reviewer, You can join our Reviewer team without given any charges in our journal. Submit Details on below link: Join As Board


Paper Publication Charges

IJARIIE APP
Download Android App

For Authors

  • How to Publish Paper
  • Submit Manuscript
  • Processing Charges
  • Submit Payment

Archives

  • Current Issue
  • Past Issue

IJARIIE Board

  • Member Of Board
  • Join As Board

Downloads

  • Authors Guidelines
  • Manuscript Template
  • Copyrights Form

Android App

Download IJARIIE APP
  • Authors
  • Abstract
  • Citations
  • Downloads
  • Similar-Paper

Authors

Title: :  Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania
PaperId: :  27061
Published in:   International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education
Publisher:   IJARIIE
e-ISSN:   2395-4396
Volume/Issue:    Volume 11 Issue 4 2025
DUI:    16.0415/IJARIIE-27061
Licence: :   IJARIIE is licensed under a Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International License.

Author NameAuthor Institute
Nashukuru G. SangaChuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania
Peter T. MrambaChuo Kikuu Kishiriki cha Jordan, Morogoro, Tanzania

Abstract

Political Communication
-
Makala haya yalikusudia kuchunguza lugha isiyostaha ilivyojitokeza katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania. Lengo la Makala haya ni kubainisha lugha isiyostaha iliyojitokeza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania. Lengo la kubainisha lugha isiyostaha katika kampeni liliongozwa na Nadharia ya Staha ya mwaka 1981 inayohusishwa na Fraser na Nolen, inayosema kwamba kila taasisi ina miongozo na kanuni inayoeleza ni lugha ipi ina staha na lugha ipi isiyostaha, kwa kuzingatia Maadili ya Uchaguzi wa Rais,Wabunge na Madiwani Mwaka 2020 (Chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343). Kwa hiyo, katika muktadha wa kampeni, lugha isiyostaha ilikuwa ile inayokiuka maadili ya uchaguzi yaliyowekwa na Tume. Data za utafiti huu zilipatikana maktabani katika mtandao wa Youtube. Mbinu ya uchambuzi wa nyaraka ndiyo iliyotumika kukusanya data, kisha data hizo zilichambuliwa kiuelezi, ambapo imebainika kuwa lugha isiyostaha iliyojitokeza katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania ni: lugha inayodhalilisha, inayoeleza tuhuma zisizothibitika, inayoonesha kutotii maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lugha yenye kebehi, matusi, kashfa, uchochezi, kuzungumza mambo binafsi ya mgombea mwingine hadharani na lugha za jamii. Makala haya yanahitimisha kuwa hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania zilisheheni lugha isiyostaha ambayo kulingana na muktadha wa kampeni za uchaguzi ilikuwa inatumika kwa lengo la kushawishi wapiga kura. Aidha, Makala haya yanashauri utafiti mwingine unaweza kufanyika kuchunguza athari za lugha isiyostaha katika hotuba za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 nchini Tanzania.

Citations

Copy and paste a formatted citation or use one of the links to import into a bibliography manager and reference.

IJARIIE Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania" International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education Volume 11 Issue 4 2025 Page 340-361
MLA Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11.4(2025) : 340-361.
APA Nashukuru G. Sanga, & Peter T. Mramba. (2025). Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), 340-361.
Chicago Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education 11, no. 4 (2025) : 340-361.
Oxford Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. 'Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, 2025, p. 340-361. Available from IJARIIE, http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Lugha_Isiyostaha_katika_Hotuba_za_Kampeni_za_Uchaguzi_Mkuu_wa_Mwaka_2020_Nchini_Tanzania_ijariie27061.pdf (Accessed : ).
Harvard Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. (2025) 'Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania', International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, 11(4), pp. 340-361IJARIIE [Online]. Available at: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Lugha_Isiyostaha_katika_Hotuba_za_Kampeni_za_Uchaguzi_Mkuu_wa_Mwaka_2020_Nchini_Tanzania_ijariie27061.pdf (Accessed : )
IEEE Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba, "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania," International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education, vol. 11, no. 4, pp. 340-361, Jul-Aug 2025. [Online]. Available: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Lugha_Isiyostaha_katika_Hotuba_za_Kampeni_za_Uchaguzi_Mkuu_wa_Mwaka_2020_Nchini_Tanzania_ijariie27061.pdf [Accessed : ].
Turabian Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. "Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania." International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Online]. volume 11 number 4 ().
Vancouver Nashukuru G. Sanga, and Peter T. Mramba. Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini Tanzania. International Journal Of Advance Research And Innovative Ideas In Education [Internet]. 2025 [Cited : ]; 11(4) : 340-361. Available from: http://ijariie.com/AdminUploadPdf/Kuchunguza_Lugha_Isiyostaha_katika_Hotuba_za_Kampeni_za_Uchaguzi_Mkuu_wa_Mwaka_2020_Nchini_Tanzania_ijariie27061.pdf
BibTex EndNote RefMan RefWorks

Number Of Downloads



Save in Google Drive

Similar-Paper

TitleArea of ResearchAuther NameAction
ELECTIONS AND THE PROBLEMATIC OF STATE-BUILDINGPolitical ScienceDALEELAH ALBASHEER MOHAMMED Download
Kuchunguza Lugha Isiyostaha katika Hotuba za Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Nchini TanzaniaPolitical CommunicationNashukuru G. Sanga Download
The new Turkish Role in the Arab RegionPolitical ScienceSiraj Alnaas Download
The Impact of Sports Diplomacy on Strengthening Relations between StatesPolitical ScienceMOHAMMED AMMARAH lSRAYBAH Download
China’s Expanding Influence in the Middle East: Economic, Diplomatic, and Geopolitical DimensionsPolitical SciencesYaron Katz Download
Shifting Geopolitical Dynamics in the Middle East: The Expanding Influence of China and RussiaPolitical SciencesYaron Katz Download
The Complexities of Uncodified Constitution in Israel's Political SystemPolitical SciencesYaron Katz Download
THE DEVELOPMENT OF POLITICAL PARTIES IN CONTEMPORARY DEMOCRACIESPolitical science KANCHAN DEVI Download
The Contemporary Security Dilemma in Realist and Liberal Theories: A Comparative StudyPolitical ScienceKamal Mostafa EL Gamom Download
Exploring the Implications of the Digital Divide in India on Political Engagement Among Different Socio-Economic Groupspolitical scienceShrimanti Ghosal Download
Examining the Changing Dynamics in West Bengal and the Role of Mediapolitical scienceSrikanta Thakur Download
One Nation One Election: Political Stability and DevelopmentPolitical ScienceWalmik Sahebrao Wagh Download
PovertyPolitical ScienceDr. Amrit Lal Chandrabhash Download
Politics of Developing Countries – Challenges and PossibilitiesPolitical ScienceDr. Amrit Lal Chandrabhash Download
Political Ideology and the Role of Alliances in Shaping Public Policy ObjectivesPolitical SciencesYaron Katz Download
12
For Authors
  • Submit Paper
  • Processing Charges
  • Submit Payment
Archive
  • Current Issue
  • Past Issue
IJARIIE Board
  • Member Of Board
  • Join As Board
Privacy and Policy
Follow us

Contact Info
  • +91-8401209201 (India)
  • +86-15636082010 (China)
  • ijariiejournal@gmail.com
  • M-20/234 Ami Appt,
    Nr.Naranpura Tele-Exch,
    Naranpura,
    Ahemdabad-380063
    Gujarat,India.
Copyright © 2025. IJARIIE. All Rights Reserved.