ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA
Abstract & Details
Research Area
Kiswahili na Fasihi
Keywords
Maneno muhimu
Athari za Nyimbo
Nyenzo ya Ufundishaji
Shule za Chekechea
Abstract
IKISIRI
Utafiti huu ulinuia kutathmini nyimbo za Kiswahili zinazotumika katika shule za chekechea kama nyenzo ya ufundishaji katika kata nne za Kaunti ya Makueni ambazo ni Mukaa, Kilungu, Kathonzweni na Makueni. Kaunti ya Makueni ina idadi ya kata tisa kwa ujumla. Kata hizi nne ziliteuliwa kwa sababu utafiti wa awali ulionyesha kwamba kwenye kata hizo kuna shule za chekechea ambazo zina mchanganyiko wa walimu na wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na waliozungumza lugha asili tofauti. Hivyo, nyimbo za Kiswahili zilitumika katika ufundishaji katika sehemu kubwa kwa kuwa zilieleweka na wanafunzi wote. Shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi ambazo zenye wanafunzi wengi zilishughulikiwa katika utafiti huu. Shule mbili hadi tatu zilichaguliwa katika kila kata kulingana na idadi ya wanafunzi na maeneo ya shule hizo. Mbinu za kusudio ilitumika kuchagua nyimbo za Kiswahili ishirini na tano kwa jumla. Madhumuni ya utafiti huu ilikuwa ni; Mosi, kuainisha aina za nyimbo za Kiswahili zilizotumika kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Pili, kubainisha namna nyimbo za Kiswahili zilivyotumika kama nyenzo ya ufundishaji na tatu, kufafanua athari za matumizi ya nyimbo za Kiswahili kama nyenzo ya ufundishaji katika shule za chekechea. Utafiti uliongozwa na nadharia ya kiutambuzi iliyoasisiwa na Jean Piaget mwaka wa 1954. Sampuli lengwa ilikuwa ni shule saba za kiserikali na tatu za kibinafsi. Pia, mbinu ya hojaji ilitumika katika ukusanyaji wa data kutoka kwa walimu. Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kwa kutumia njia ya kimaelezo na kitakwimu.
Utafiti huu umebaini kwamba nyimbo za Kiswahili ni mojawapo ya nyenzo muhimu ya ufundishaji katika shule za chekechea nchini Kenya. Kwa hivyo, kila shule ya chekechea nchini ni muhimu kuzitumua katika ufundishaji.
Maneno muhimu; Athari za Nyimbo, Nyenzo ya Ufundishaji, Shule za Chekechea
License
This work is licensed under a Creative
Commons
Attribution-ShareAlike 4.0 International License.
Author Information
| # | Name | Institute / Affiliation |
|---|---|---|
| 1 | PIUS M MWANZA | South Eastern Kenya University |
| 2 | DKT SARAH NGESU | South Eastern Kenya University |
| 3 | DKT F. M. MUSYOKA | South Eastern Kenya University |
How to Cite
Use the following formats to cite this article in your research.
APA Style
MWANZA, PIUS M, NGESU, DKT SARAH, & MUSYOKA, DKT F. M. (2026). ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 12(1), 356-367.
MLA Style
MWANZA, PIUS M, et al. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 12, no. 1, 2026, pp. 356-367.
IEEE Style
PIUS M MWANZA, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA, "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA," International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, vol. 12, no. 1, pp. 356-367, 2026.
Vancouver Style
MWANZA PIUS M, NGESU DKT SARAH, MUSYOKA DKT F. M.. ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA. International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education. 2026;12(1):356-367.
Harvard Style
MWANZA, PIUS M, NGESU, DKT SARAH, & MUSYOKA, DKT F. M. (2026) 'ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA', International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education, 12(1), pp. 356-367.
Chicago Style
MWANZA, PIUS M, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 12, no. 1 (2026): 356-367.
Turabian Style
MWANZA, PIUS M, DKT SARAH NGESU, and DKT F. M. MUSYOKA. "ATHARI ZA NYIMBO ZA KISWAHILI KWA WATOTO ZITUMIKAPO KAMA NYENZO YA UFUNDISHAJI KATIKA SHULE ZA CHEKECHEA." International Journal of Advance Research and Innovative Ideas In Education 12, no. 1 (2026): 356-367.
Related Research
Pag-mamarites” Bilang Penomenong Pangwika: Isang Kwalitatibong Pagsisiyasat sa Impormal na Diskurso Ng Mga Magulang sa Paaaralan
Download PDF
STUDENTS’ PERCEPTIONS ON USING QUIZLET IN LEARNING ENGLISH VOCABULARY AT THAI NGUYEN UNIVERSITY OF SCIENCES
Download PDF
THE IMPACT OF POLITENESS STRATEGIES AND SPEECH ACTS ON CUSTOMER SATISFACTION: A CASE STUDY OF SMALL AND MEDIUM-SIZED ENTERPRISES IN THAI NGUYEN PROVINCE
Download PDF
THE IMPACT OF COMMUNICATION INFORMATION QUALITY, COMMUNICATION APPROPRIATENESS, COMMUNICATION CLARITY, AND COMMUNICATION STYLE ON CUSTOMER LOYALTY IN ENTERPRISES IN THAI NGUYEN PROVINCE
Download PDF
THE PRINCIPLE OF POLITENESS IN BARISTA–CUSTOMER INTERACTION AND ITS IMPACT ON CUSTOMERS AT DKN CAFE JEMBER: A PRAGMATIC STUDY
Download PDF
MARGINALIZATION OF INDIGENOUS COMMUNITIES IN THE REPORTING OF THE NUSANTARA CAPITAL CITY PROJECT
Download PDF
Social Dialect of The Indonesian Language in The Baby Boomer Generation VS Generation Z in Podcast
Download PDF